Ulimwengu Ulivyo Sivyo Ulivyo !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeye huwaona walimwengu walivyo machoni mwake akadhania ndivyo ulimwengu huu ulivyo
Hata yale anayo yasoma magazetini haamini kama ni wao ambao wanayatenda
Huwa anadhania kwamba wote ni wangwana namna wanavyo onekana wakiwa kazini
Huwa anadhania kwamba niwanadhifu rohoni mwao namna mavazi yao yalivyo nadhifu
Uliwengu ulivyo sivyo ulivyo
Waelimisheni wageni wanaokuja hapa ulimwenguni kwamba haya wanayoyaona siyo watakayo yapokea