![Majirani Wanafiki !!!](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/11/c165b390112f4f4eae81bec52633303b_464_464.jpg)
Majirani Wanafiki !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Majirrani wangu hawa wanani shangaza sana
Hata nikitenda mazuri vipi wao bado wananisengenya na Kunibandika majina
Nikipalilia maua pale mbele bado wanani bandika Majina
Manispa walipoleta pipa jipya tulianza kubishana kuhusu nani atakayelitoa lile la kale pale uwanjani
Wanazungumza kunihusu redioni kwenye vipindi vya kijamii
Wanaandika magazetini kunihusu mimi
Wanannitumia kama mfano kwenye mijadala yao kwenye vikao vyao
Haikosi shetani amekwisha waloga hawa