Kitendawili Cha Sportpesa !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Huyu jama ana shangaza mno
Jaba inampelekanga mbio mno
Juzi pale kwenye joint Alifyutuka mbio mno
Kwa mda wa sekunde moja alikua katikati ya barabara
Watumia barabara wakalazimika kusimamisha magari yao ghafla mengine yakigongana na kusababisha msongamano wa magari barabarani katikati ya Mji
Alifyatuka mbio akatoroka
Wakati mwingine huwa anasikia sauti zisizokuwepo
Akaanza kusingizia wenzake kwamba wameongea na kusema mambo ambayo hawawezi hata kuyasema akasababisha balaa
Na wakati mwingine huwa anapika chakula kingi mno chakula kinacho weza kuwatosha watu wazima wanane akakila hadi kukimaliza
Na wakati mwingine huwa analima shambani kazi ambayo inalingana na wanaume wanane