![Asiye Kuthamini Mwache !!!](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/06/d3cd3d6af9384a35afa649b4193d43f8_464_464.jpg)
Asiye Kuthamini Mwache !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Anajiona akiwa mzuri kuwaliko wenzake
Asiye kuthaini wachana naye
Usipoteze Muda wako kwake !!
Labda huko nje kunao wale ambao wangekuelewa Kumliko
Labda wangekufaa kumliko
Labda wkati Utakapo fahamu Watakua Wamekwisha Tawanyika
Usip[oteze muda wako wachana naye mkumbatie atakaye kuthamini
Asiye kuthamini mhepe
Labda Wako Wanaokuhitaji huko Ulimwenguni
Labda Waho Wanaokuhitaji Huko ulimwenguni