Mumewe Kapotea !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Huyu mama analalamika kuhusu ndoa yake
Anabahati kuolewa kwa sababu kupata bwana siku hizi ni bahati
Ijapo kua aliolewa lakini ndoa yake ina kasoro
Yasemekana kwamba walioana wakiwa vijana
Halafu mumewe akasafir kwenda mjini kutafuta Riziki
Alipoondoka pale Nyumbani hakuwa na ndevu
Aliporudi bada ya mika thelathini undevu zilikua zimemfunika uso mzima
Ni miaka sitini tangu siku hiyo
Mumewe hajawahi kurudi nyumbani na hajulikani aliko
Anaishi kama aliyeolewa lakini mumewe hawajawahi kukaa pamoja kwa miaka tisini
Ajabu Mno