
Mwerevu Hajinyoi Mwenyewe !!! Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2024
Lyrics
Yeye huona kama kuwadharau wenzake kutampa anacho kitaka Humu Ulimwenguni
Anaona kwamba akitenda kwa dharau ndio heshima humu ulimwenguni
Yeyte huona kwamba akiwaogofya wenzake ni sifa nzuri
Wanapomwona akija wao humuepa wakabadilisha njia
sasa wenzake kijijini wnamwogopa mno
wakimwona ni sawa na kumwona ibilis mwenye
Anaona kama mambo yake atayaweza yeye mwenyewe
Anaon akama hakuna siku amabyo atawahitaji wenzake
Ijapokua yeye ni mwerevu Lakini mwerevu hajinyoi babu