![Anaweza ft. Luciano](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/9B/rBEeM1qowc2Ad_NXAADUc7cMGFU099.jpg)
Anaweza ft. Luciano Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2018
Lyrics
This is Luciano Messenja
Alongside Lady Jaydee
To sing for humanity
Leo ...haaaaaaa!!
Niko hapa ila kesho si kama leo
Umenipata Milele ooooh
Umenipata pat!! kama leo
Niko hapa kidogo leo
Nani anaweza weza kusimama
Kutengwa na dunia bado
akasimama
Nani anaweza weza kusimama
Kwa nguvu ya Mungu bado
nimesimama
Nani anaweza weza kusimama
Kutengwa na dunia bado
akasimama
Nani anaweza weza kusimama
Kwa nguvu ya Mungu Jide
nimesimama ...haaaa
Dunia eeh
Kwa nguvu zako kushinda sahau
eeeh
Kweli, lakini hapo hutakiwi kata
tamaa
Weka lengo, Fikia na lishinde
lengo
Lakini wewe huwezi
Kwa nguvu zako huwezi
Ila nguvu zake yeye,
mwenyezi ,
Ayaya yaya yaya yayaaaaha !
Kwa akili zako huwezi
Hata nguvu zako huwezi,
mwenyewe
Kufikia lengo
Nani anaweza weza kusimama
Kutengwa na dunia bado
akasimama
Nani anaweza weza kusimama
Kwa nguvu ya Mungu bado
nimesimama
We look to God for the answer
Coz he is our prime mover
He is our rock and our strength
Our shield and our defence
To him we give all praises
For whatever we achieve
Coz he's our rock of ages
And our backitive eeeeh!
Nani anaweza weza kusimama
Kutengwa na dunia bado
akasimama
Nani anaweza weza kusimama
Kwa nguvu ya Mungu bado
nimesimama
Nani anaweza weza kusimama
Kutengwa na dunia bado
akasimama
Nani anaweza weza kusimama
Kwa nguvu ya Mungu Jide
nimesimama ...haaaa
Everywhere we turn today there's
so much problems in this world
But only God Almighty to who we
pray
Can save our souls
--- www.LRCgenerator.com ---