![Faida Tele](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/6D/8D/rBEeMVqmXnCALVA_AADuvN9sQFw693.jpg)
Faida Tele Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2013
Lyrics
Faida Tele - Reuben Kigame
...
Umm uhh)
(Imba)
Nina faida tele kwa sababu yako Yesu
Dhambi zangu zimeoswa kwa damu yako takatifu
Mimi ni mshindi mridhi wa ufalme wako
Nina faida tele kwa sababu yako Bwana
(Oh Imba)
Nina faida tele kwa sababu yako Yesu
Dhambi zangu zimeoswa kwa damu yako takatifu
Mimi ni mshindi mridhi wa ufalme wako
Nina faida tele kwa sababu yako Bwana
Nimeshinda Kifo kwa sababu yako
Kwa kupigwa kwako uponyaji napata
Shetani ameshindwa hana mamlaka tena
Naimba halleluya pokea sifa Bwana wangu
Nina faida tele kwa sababu yako Yesu
(Yesu wangu)
Dhambi zangu zimeoswa kwa damu yako takatifu
(Damu safi)
Mimi ni mshindi mridhi wa ufalme wako
(Eeeh)
Nina faida tele kwa sababu yako Bwana
Umeyatuliza maisha yangu
Umenitakaza ni kiumbe kipya
Kama sio wewe ningekuwa wapi?
Nina faida tele maishani mwangu, Bwana
Nina faida tele kwa sababu yako Yesu
(Yesu wangu)
Dhambi zangu zimeoswa kwa damu yako takatifu
(Mimi)
Mimi ni mshindi mridhi wa ufalme wako
(Leleleleleleleleh)
Nina faida tele kwa sababu yako Bwana
INSTRUMENTAlS
(Faida tele)
(Hamna hasara)
(Aah aah aah)
(Bila wewe Kristo mimi ningekuwa six feet under)
(Nikufananishe na nani)
(Hamna wasia)
(Hesabu za faida zako kwa akili yangu ndogo ni too much)
(Eeh eh eh ehee eeh eh eh ehee)
(Imba)
Nina faida tele kwa sababu yako Yesu
(Yesu wangu)
Dhambi zangu zimeoswa kwa damu yako takatifu
(Damu safi)
Mimi ni mshindi mridhi wa ufalme wako
(Ooh ohoo)
Nina faida tele kwa sababu yako Bwana
(Imba)′
Nina faida tele kwa sababu yako Yesu
Dhambi zangu zimeoswa kwa damu yako takatifu
Mimi ni mshindi mridhi wa ufalme wako
Nina faida tele kwa sababu yako Bwana