![Grinding](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/6500de8beb9848dd9c586fe3f5509179_464_464.jpg)
Grinding Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimeshika cheque na maganji njinja
Pelekwa na rada
Nikiwa 11 nilibuy bike ninja unaradar
Nilikua nasave chwani fare ninja unaradar
Alafu shule Naenda kalesa ninja unaradar
Pesa ya lunch ilikua iyo doh ninja unarada
Nikajenga siz Thao NNE ninja unarada
Tukafika ukwala bila ID ninja pelekwa na radar
Watoi wote wananiomba ride
Pride sikujengi jana I lied
Umelegeza you never tried
Nilikua WA Kwanza na timba onsight
Kila kitu nimejifunza I applied
Ukashow mothako, akushike Chrisi
Kichwa ngumu na budako kasisi
20 years ni kuduck polisi
Bila kupigwa pingo dago easy
Chef kejani napenda upishi
Niteke shishi, usafi kupiga marashi
I remember kuchujwa ju ya feees
Unapenda Sana kucopy my drip
Manze sikua nalipiwa trip
Mtaa kutumwa na mah OGeez
Napigwa za macho,Pigwa kahashow
Chini ya desk unafinywa gwado
Pigwa transfer na ukusnitch
Nilikua bulley,sikua MTU mzuri
Kijana unrulley
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimeshika cheque na maganji njinja
Pelekwa na rada
Warembo wasupa kunipea cookie ninja unaradar
Izo enzi nilikuanga rookie ninja unaradar
waschana wa daro kupigwa mdaro ninja unaradah
Ikus tight Before wakue mtaro ninja unaradar
Kuwatoka Kwa bag,wakizidi break ninja unaradar
Kuingia highschool radar kuwatoka ninja unaradar
Calculate,dic na kamusi ninja zinaenda
Closing day balling muthurwa ninja unarada
Mavidevu aribiwa sura ninja unarada
Pitia wahhi air force mbichi ninja unaradar
Kila funky warembo wanakulwa ninja unaradar
Nyuma ya mbathi ,science congress ninja unaradar
Kwa block nilikua plug
WA Kwanza kuwashika mashah
Athletic teke Niko first
Jamsession tumejaza gas
Rip karis alipigwa ridhe
Kuwageuzia matenje koinange
Ukidozz magiz Niko sleepless
Hauna gode uko weedless
Kumadah highschool nalipa rent
Nikaanza kutokea mah event
Niko na manoti uko na cent
Ningekua millionaire sikua nasave
First Studio session nalipa cash
Studio equipment nikashika cash
Ka naku owe nitakuja
Aribu jina Endelea kubanja
Nimehustle my whole life ninja unarada
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimeshika cheque na maganji njinja
Pelekwa na rada
23 naishi na dame
Picha Kwa frame
Jumpoff fresh freshman
Keja one-bedroom Nimeisuka
Niko na camera Vida kupiga
Most of of my videos nimeedit
Najirecord plus namix
Kila month Nina netflix
Tulia nidrop kitabu
Shop ya mah looku pia inakuja
Niko na tape Ka sita ninja
Vida 150 yooutube nimefika unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimehustle my whole life ninja unaradar
Nimeshika cheque na maganji njinja
Pelekwa na rada