New Money Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
New Vibes
New money new me
New vibes
New mic new kicks
Studia Ishajipa,tuko na cashy studio tunapika
Green money wote wanawika
Nipe lighter,mwangaza Kwa giza
Christian not jew
Move to di right pop smoke Niki woo
Kiatu brand new
Keja brand new,very soon
Album wanareview
Jeshi ni ya Dago usicheze na hii crew
Itakua taboo
Round two ,tusake maganji usilie uko udoo
Badman bila kuchora tatoo
Ati alidiss who , bombo whole
Jeshi ni ya madead,one phone call
Alitoka mbio siaka mbaya akicrawl
Tisho Nimedunga ni Merchandise ya me
Nakeep it real,siezi cheat
Rainbow snow ama sunshine
Nimedunga Jale Safi
Tena collection,neza dunga adi kesho
Kemea Pepo,Demah badmine
Ukinitafuta utanifind
Kwa mah hater Niko blind
Nakuremind niko grind
Atubongi Ka si Ka si doh ama growth
Walikam wawili nikawakata both
Wanaboga Kwa net ,me nabonga Kwa ground
Ata nikisota Nina asset ziko biiz
Mamali ziko Jiji,Nimewai mstiri
Anakushow Uingie deeper,umefika mwisho
Thank you jahjah sijapigwa pingo
Nina mareal brejin itajipa
Msupa Pon di bike back
Anawiggle iyo waist Ka wiper
New vibes hakuna kubonda
Ni kubonya hakuna kukonda
Daily niko stu naivisha mangoma
It's too late me Ni boss
Awooh Look pon Di life living
Nina Mamorio walichizi
Alikua mjanja tukiseti
Gavor inatuita c mathegi
Am so cruel,nacheza na feast na kick
Nitablow,snitch alivunjwa jaw
ki jetli akijidai ni cybog
Ogopa world omba God