HADI NIKANJWE Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
HADI NIKANJWE - Clinchy
...
Ka ni rap itanitoa narap hadi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni mboka itanitoa natrap adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni hustle itanitoa nawork adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni books zinanitoa nasoma adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Till am paid am rapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am trapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am working till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am reading till am paid(hadi nikanjwe)

Till am paid am reading till I'm paid(hadi nikanjwe)
Day flani club,nimeapproach maslayueens watatu,(watatu)
Mkono Nimeshikilia album copy tatu(copy tatu)
Drip All black jale ya Red chini timba
Nkawasho wafike bei niko bizna
Hawakufika bei walidai niwashike tei,
Sahii niko bizz sidai pleasure(sidai pleasure)
Sina time ya kucheza(noo)
Naekelea kazi Lazima niomoke(lazima niomoke)
Kama ulijitoa ikijipa nakutoka(nakutoka)
Yeah
Maybe wako mad Niko back on my bag(back on my bag)
Usifeel bad nikitop izi charts(Nikitop izi charts)
Usikuwe sad ukitolewa kwa game
Ukitolewa kwa game
hardwork usiseme ni luck
Paybàck zile siku nililack
Fanya kenye utafanya
Sijali
Hali yangu fiti keja haina panya
sipendi marats,Sipendi masnitch
me Ntakudiss
Niligonga mrembo wako once
Funny anadai ananimiss
Alinipea head kwa me later akakam kukukisss
Mali ijai kosa kujipa broh
Wateja wanashinda wakikam wakigo
shinda apo ucheki tukigrow
Zoezi kwa wingi sahii Me ni pro
Umejaribu bt Uko below
Ka ni rap itanitoa narap adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni mboka itanitoa natrap adi nikanjwe(hadi )
Ka ni hustle itanitoa nawork adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni books zinanitoa nasoma adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Till am paid am rapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am trapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am working till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am reading till am paid(hadi nikanjwe)
Nyongwa na waru ucheki nikiblow(hadi nikanjwe)
Ka ni rap itanitoa narap hadi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni mboka itanitoa natrap adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni hustle itanitoa nawork adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni books zinanitoa nasoma adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Till am paid am rapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am trapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am working till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am reading till am paid(hadi nikanjwe)
Nyuma nawacheki mi nikiflow
Huezi flow vile me naflow
Huezi rusha vile me throw
Ukijaribu jipate kwa floor
Wananicall Hello
Link bado kwa bio
Ningekua u.s ningeuza snow
Yani white ama coke,
Mnachochwa ngoma tuma kitu
Na Mtu anaishi vi lavish
We c oG unawish
We c producer ka travis
Huna kylie wako Gladys
Looku ni Safi
Claddyy zimepigwa pasi
Nilihustle Nimejiestablish
watu wa media wapublish
Nataka karembo kazuri kanabonga Spanish
sea food kando ya beach
Sembe na Fish
Ulithani utanipata nikavanish
walithani na go broke
Nina depresion nishikwe na stroke
Awa wasee wanajoke
Me naput in work
Nikisip H20
Mlango nimelock
Beat imedrop
ashtray Kuna dope
Nikipuff,Nafeel Kama pop
Nasoma scripture
nikilost me uturn to Jesus
Ka ni rap itanitoa narap adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni mboka itanitoa natrap adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni hustle itanitoa nawork adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Ka ni books zinanitoa nasoma adi nikanjwe(hadi nikanjwe)
Till am paid am rapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am trapping till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am working till am paid(hadi nikanjwe)
Till am paid am reading till am paidadi(hadi nikanjwe)