![Paperbond](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/6500de8beb9848dd9c586fe3f5509179_464_464.jpg)
Paperbond Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeah,yeah,
niset
Ntakuset
Nina ngwai kibao za kunipeleka adi mwisho ya life
sioni zikikatika soon
Siishiwi na mali,
Kila siku niko on,we nicall
Ubajua code
Nachapa mboka kwa mapunk
Niko karen kwa ki mansion buffe tukibonya lunch
Namedidate kama monk
Everymorning nikiwake nikuskunk na c pass
Naget hiii doh,Namadah matrapper siko innocsent
Niko present wakiwa absent
Murder ndio case closed caskets
Am so magnificent
Tunaset up izi lights after wera parking lot na mabrejins tuko drunk
No stress ganji ni bulk
Nafeel ka nba player juu ya rim nimdunk
Unafaa ucheki crew wameida kama hulk
Wengine ni mah geek kwa mac tuneza kuhuck
Nimekua hustle ndo kitu najua
nikiziwaste nimelearn siezi jiuwa
Namada awa awa marapper if ukua unajua
More money more problems ndio life bruh
Nimeteka bad bitch amenivulia bruh
Babygirl me ni G nishabreak Law
Naiva riffa pekee ,sichomi fegi nah
Naseti ndom, Naget so high x2
Narauka Soma bilble naiva vela
Dandia nganya bt ntarudi tena x2
Mabatty men siwapendi la
Mah lgbt girls nawapenda yeah
jaba zii niko mamiti hakuna mabati bruh
Ukibonga shit nitakubreak iyo jaw
Me ndo winner hatukutoka draw
Nawaonyesha kukachora na c kudraw
Niko solo napenda my vibe
Hii ni new tribe
Sheng talk usiwai belive iyo hype
Pengting ka popocaan she's my type
Anapenda pipe
Sipendi wasoro Nawakata kama knife
Nilistay on my grind before niget ka wife
My old bitchez walipigwa ball wanimake jelous
Clinchy we jibonge you can tell us
Rock awa mafellas wauzie mavella
They cant expell us
Alinishow alikua amemua kusettle na me
Nilikua kwa street kusaka mashillingi
Angeweza kuwa patient na me
Nilikushow uyo alikua fala hauskii
Now nishaget key kuwasha maserratti
December nimekua kwa documentary ya netflixx
Short film Adisa iko nominated oscar