
COMPETITION Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
COMPETITION - Clinchy
...
sicompete na nyinyi
nacompete na Mimi
Nabelieve Niko wise akilini
Nimekubali nilikosea siku mingi
I want to be a better man niamini
sicompete na nyinyi
nacompete na Mimi
Nabelieve Niko wise akilini
Nimekubali nilikosea siku mingi
I want to be a better man niamini
Hood yako inanishow love
Always working kwa game sijai left
Ukiwait me naendelea kusonga
Niko serious kama cancer
Nastay down untill niturn up
Nina ngiri kutake orders
Kama ni kurest ni adi wanimade
Afande c ati sina kipande
Money on mind
Hood inacount on me kama calculator
kila msee anadai mabetter
sicompete na nyinyi
nacompete na Mimi
Nabelieve Niko wise akilini
Nimekubali nilikosea siku mingi
I want to be a better man niamini
sicompete na nyinyi
nacompete na Mimi
Nabelieve Niko wise akilini
Nimekubali nilikosea siku mingi
I want to be a better man niamini
Nilikua boss kwa street corona joh ikakam
Now Nimeamua kudedi na rap
Nawapa knowlege
mafala wanabonga crap
Usifanye niget mad,Utaget slapped,
Umati inanice nikiroga wanaclap
Nikiwa plug nilifanya wafeel love
After kuquit macustomer waliget mad
Maadict wako sad,
Mali imeland
Umekua hater all your life
showing love is something you should try
Neza nunulia all my exes watches
Coz time heals
Lost all my money in drugs
Ain't going the same route again
Please God nihelp
Fam imenishow hii rap haipay
Nigga saka job
Damn nimeanza KU apply mawera
Niko kwa website ya ajira
Later on fuzu
No cap 9 to 5 sio yangu
sicompete na nyinyi
nacompete na Mimi
Nabelieve Niko wise akilini
Nimekubali nilikosea siku mingi
I want to be a better man niamini
sicompete na nyinyi
nacompete na Mimi
Nabelieve Niko wise akilini
Nimekubali nilikosea siku mingi
I want to be a better man niamini