![Big L freestyle](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/6500de8beb9848dd9c586fe3f5509179_464_464.jpg)
Big L freestyle Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Intro
Yoh this time tunatake hip-hop to another level
Hatutafuti Awa watu itabidi wametusaka,wametusearch
Nairobbery stand up
Verse 1
Sijaii angusha Msee bt alinisanya akagenya
Flow yangu wakisanya warembo wao nikhanya
Watch Kenye unaspell,uneza jicurse inaitwa spell
Fanywa ngori ukilegeza born as gangster
Flow ni smooth wakirap faster
Haimanishi art umemaster
Nina assets meaning Nina chedah
Studio equipments kila kitu ni behringer
Kila siku Jale mbichi hii Mali ni fisa
Clinchy we ni stima vile unawazima
Vile nawakata nimekufiwa na wamasa
Babymama wako nilimkulia Kwa balcon
Your soulmate nalimdishi Juu ya rooftop
Nilimfunza kurole gode akinipiga deepthroat
Infor mnabanja Sana fungua chama
ifor area yako utapigwa korto
Mnafloss nikijifanya Niko msoto
Unaforce sitaki kutokea iyo photo
Kuro amebend over lakini Siezi mboya
Alisquiz hii cock akijuggle balls
Umempatia your all umejicorn
Mess na clinchy it's your Downfall
Hahah
Na sitafathali joh,Cheki
Verse 2
Nina mistari kibao kwa file zimepile up
Rhymebook iko full,Nadai book ingine
Heri ni overfeed kuliko kumwaga food
Hakuna job tunalive off fuliza
Kuishi kwa giza na c swali nauliza
Wanalack talent plus they ain't Abt that life
Ulinishow niache kusell cdz ni old school
All I iknow nazisell niko out of stock
10 copies every week Cd moja punch
in an year piga hesabu do the maths
Notorious kama biggie naskia hessy ananisaka
Kama messi akikam ntamtoka
Show hessy me si mkomi
Ata akincheki na mto mbonoko na cammo🛶
Najua masomo graduate diploma
Me ni film maker alifall inlove na rap
Hip-hop neza itatoo on my back
This time ukinicross nakumada
Na si captalk usithani ni ufala
Breathe
On the real though Awa wasee wanathani hii kitu joke,sibongi Mob
Uliingia hii bizz jua wasee wa kucross
Twende Sana
Verse
Nimesell platinum in the streets
your favourite rapper asispeak
Morio opp huezi fanya niloose hope
kubonga behind my back unaomba nipate stroke
Mtoto wa landlord enda ukanyonye
Ukitupwa Njei utakosa za kubonya
Uso utajaa madent hauko hard
Hauko built for this Siamini iyo verse
We ni joke Heri budah yako ungemwanga Njei
Ama mokoro WA you angemeza iyo njoti
before nichizi kama Hitler
Sunday Niko front raw napea mungu sifa
Incase nidedi naomba nifike heaven
Nicheki budah na mother na sister nipate peace
Sir Gody anajua I have a good heart
Kama unipendi me sitambui iyo grudge
Take it back enzi za David na Moses
Si kila MTU aliona promised land
woishe
Nimemature siezi rukia beat yoyote
Wakitry kuniuwa wakatoka siaka wote
Kerae ilipull up ikichachisha horni
Wako wapi hatuwaoni
Sitambui wahunii
Umenishow niache kuchase hit
nikihit fiti ntashika izi mills
Maybe uko right,sahii sina pressure
Natake one day at a time ata nikiwaste pesa
Umejaa ngori fanya kitu motherfucker
Psychopath vampire blood sucker
Katwakatwa to pieces tukibonya supper
Tukuje funeral kutoa sadaka
Talanta kujibonga tukiiva mambata
Kichwa yako ngumu, nyama ya bata