MAMA'S DREAM Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
MAMA'S DREAM - Clinchy
...
I never had a momma
Sometimes me uwonder
Niko solo sina radar
Kwa izi streets narandaranda
Though Nagive thanks to my siz
Uliniraise ukanitoa kwa izi streets
college ukapay,
Sahii me ni graduate
All the things umefanya, I appreciate
Kuzaliwa July 1995
Mother alipass 1999
4 years old ,Sijui nini inagoh on
Nacheki mother ndani ya casket
Nauliza budah mnapeleka mother wapi
Mbona Kila mtu amedunga suti
Mbona unalia,Son vumilia
Mother ameenda mbinguni
Leo ndio siku tunasema kwaheri
Sahii ametulia na angels,malaika
amekuachia baraka
Make her proud, she has a dream for you
Everything you do,Put God First
Educate yourself attend izo class
One day siku itakua fine
2002 budah akapass
Alone in this word me ni orphan
Me na late siz tulipelekwa childrens home
Later on Tunaishi na abusive uncle,
I never had a momma
Sometimes me uwonder
Niko solo sina radar
Kwa izi streets narandaranda
Though Nagive thanks to my siz
Uliniraise ukanitoa kwa izi streets
college ukapay,Sahii me ni graduate
All the things umefanya, I appreciate
At that time big siz alikua highschool boarding
Uncle Alikua anatupiga na electric wire
Ata kah tulikosea,Sio fare
Heart ilikua cold time alibeat my late siz vibaya
Adi siku alipass sikulia,tulifeel relief
why
Freedom atlast I bet unanifeel
Kenye naremember about my mom
Najua alikua lead choir kwa church
Akienda job na bus alinibeba on her back
Mom alikua tailor
Alinipenda Lastborn son the youngest kwa Fam
Nikaitwa Clinton alidai nikue prezo
Mama's dream iyo ndio reason sina mchezo
me ni leader not a follower
Though niligrow up na shida sijawai feel poor,
Thank you siz you like a mother to me
Nashukuru when I was arrested ulikam for me,
Gave me something to eat time sikua na any,
nilikua nafeel nimekufail,
I didn't listen
nilistay kwa drug game,
ivo ndo niliraise rent,
Thanks again uliniongezaea the rest,
i promise nikiblow up I'll take care of you
Naeza kupea every cent,
because you are God sent
I never had a momma
Sometimes me uwonder
Niko solo sina radar
Kwa izi streets narandaranda
Though Nagive thanks to my siz
Uliniraise ukanitoa kwa izi streets
college ukapay,Sahii me ni graduate
All the things umefanya, I appreciate
RIP meehn to my mama
RIP to my father
RIP to my siz bado
RIP jooh Collo cuzo wa me
Eeh manze hii life imenionyesha vitu mingi jooh
Hii life ndio imeniturn kua na hizi anger issues
Nimekua na mangori mingi yaani
Since nikue highschool bana hadi sahii but me nakushoo
If ushailose anyone believe in yourself yaani
Put God first yaani
God ndio ako na wewe manze
Family inaeza change hapo nyuma manze
Before in my life manze nilikua nasema nikona family huko nje bana hakuna msee ashaicome joh
Hadi ile siku siz yangu alidedi ndio walicome joh ku kutucheki
hapo ndio nilijua manze usiwai depend on anyone bana
manze hadi sahii hata wale mamorio niliokolea sahii wanajifanya wao ndio kusema but
manze me nitagive thanks yaani me nitaendelea kushine
RIP joh kama ushailose anyone
Hiyo isiwai kupeleka down yaani
Believe in yourself
yaani ipeleke kwa God
To God be the glory au sio