KAZI EVERYDAY Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
KAZI EVERYDAY - Clinchy
...
Yeah
Kazi kazi
Works works eeehh
Kama nimekosea manze joh nasema sorry
Mangori zangu zote sikuizi huwa sibongi
Napeleka kwa God pekee ataskiza
Niko kwa giza naomba afanye miujiza
Nafeel niko lost oh Lord come unihelp
I can't chill me nasmoke alot to ease the pain
Hakuna mchezo apa kazi everyday
Sitamanga ka niko lazy sitaplay
Niko practice nifike ligi ya messi
Niko zoezi nipewe mechi
Huniezi acha kujiseti
Naput in work overtime
Zoezi overnight
Kuandika mistari naandika all the time,
Niko on my prime,mountain me naclimb
Siezi look back I can't borrow I want mine
Niko mabizz nauza merchandise
Clinchy ndo Logo,Royal ni lifestyle
Visuals ni safi,Millionaire mentality
Moves chini ya waba
Leta bizz sidai chocha
Kama nimekosea manze joh nasema sorry
Mangori zangu zote sikuizi huwa sibongi
Napeleka kwa God pekee ataskiza
Niko kwa giza naimba afanye miujiza
Nafeel niko lost oh Lord come unihelp
I can't chill me nasmoke alot to ease the pain
Hakuna mchezo apa kazi everyday
Sitamanga ka niko lazy sitaplay
Watu wengi waneza kumess
Unajidai huezi shika phone
Nakushow c lazima nicall
Number yako swap delete
Shauri yako usispeak
kwa street naskeme
Think deep ama usink
Voice na beat ziko synced
Melodies me nasing
Cheki mavitu nafanya mafala ni kama waradi
Soki kwa uso umepigwa wajue ww ni mrazi
Hakuna mchezo apa kazi
Humangi ka uko lazy
Uradi ka unipendi
kazi nipate ganji
Leo kalesa kesho ni gari
Kama nimekosea manze joh nasema sorry
Mangori zangu zote sikuizi huwa sibongi
Napeleka kwa God pekee ataskiza
Niko kwa giza naimba afanye miujiza
Nafeel niko lost oh Lord come unihelp
I can't chill me nasmoke ndio release pain
Hakuna mchezo apa kazi everyday
Sitamanga ka niko lazy sitaplay