![Ghetto](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/6500de8beb9848dd9c586fe3f5509179_464_464.jpg)
Ghetto Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
I was born as a ghetto child
Me ni boy wa ghetto
Sipendangi mseto x4
Verse
Nina anger issues
Mangori kufight bila kisu
Nakuanga alive usiku
Mchana nimechill niko mavitu
Wananicheki kama threat kijana abet
Warembo wangu me ucheza away
Hakuna chuom siezi pitia
Nipate chuom huezi kwom
Awa wasee wanajidai awatucheki
Awadai tukule piece ya keki
Classmate alistay sober sahii ako france
Nafeel nimejiwaste wakinishow niko na chance
I know myself i know my enemy
Waezi nishow awa mah wanabe
Siezi fear results of a thausand battles
Wanaona niko negative nikijibonga
Siz alinishow itakutake one hater kukuseti
Onetime kuingizwa seti
Ikumaliza one week mah c.i.d wakakam
Hawakunibamba walijam
Wakachukua my partner wakajengwa mabands
Hook
I was born as a ghetto child
Me ni boy wa ghetto
Sipendangi mseto x4
Verse 2
Punguza temper nina worse
showing this niggas the type of person they dealing with
They dont know my code
G since nikatwe ambilical code
Uradi kenye narepresent what i've bn through
Attitude ni ya kuchachisha what u gon do
Najua kusaka mang'ondo
Chengwa pigwa chombo
Kutumia menje kama sobu
Hii ngoma ni jibu
Nikipull up na mbogi tumekam kuaribu
Tunajua the truth huna aibu
Nikiwa class 8 nilikua nafika libu
Kusuka madame wasupa machopii
Colle kwa hostel nawakula malappi
Hustle iko in my blood my dna
Nafill street with my cd kama flood
Straight from the mud
Now niko fresh earing nimedunga studs
Ganji ndio motivation
Ntazisaka leo na kesho
God first fosho
Nimewacha show off
Hook
I was born as a ghetto child
Me ni boy wa ghetto
Sipendangi mseto x2