LAY LOW Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
Lyrics
LAY LOW - Clinchy
...
Nalay low adi iyo siku ifike
Adi iyo siku ifike
Nalay low adi iyo Sikh ifike
Adi iyo siku ifike
Kwa Mneti nawaona wakichachisha(Wakifloss nawacheki)
Nawaona wakichachisha
Awajui radar yangu wanadai me uingia nkitoka
naturn magrams to Bands
Soon ntafika s.a nishike marands
most of the time me ushinda alone
Introvert am a loner
Mary Jane by my side me ni stoner
usiwai question hii ability mbona?
Nimetoka far from standing on the block
Hopeless na mangwai kwa socks
Money is the conversation
Nadelivery kwa mapunk
Wanashinda wakirudi,hii Mali ni safi
Situmii kiberiti gas nawasha na lighter
no chitchat,nakuona ukichachisha
Niko made by his likeness
courageous,
number mbili Ka venus
Siko apa kuplay
Hakuna kulazy around
Nimekujia izo ganji adi mapound
Me ndo diamond kwa dirt sijaget found
Nalay low adi iyo siku ifike
Adi iyo siku ifike
Nalay low adi iyo siku ifike
Adi iyo siku ifike
Kwa Mneti nawaona wakichachisha(Wakifloss nawacheki)
Nawaona wakichachisha
Kwa mneti nawaona wakichachisha
Nawaona wakichachisha
Yoh broh unacheki awa wasee wanafloss na mambling
pale ig kwa mangoma wakising
sisi tuko mtaa tunadai izo matings
Tutamstock alaf joh tupull up
akona bands pia ako na commas
Tuchore vile Tutamkoma
Tukimtoka tunashika ki stock
Ju ya Protection tukwachu pia ki Glock
Cheki iyo mlango Kuna msee ananock
Tei ni kibao usiogope piga chock
My product is dope
Niliacha kuworry kuogopa macops
This is the life I chose I can't stop
Siko hood lakini mali iko kwa block
Sikia hii sound,sifai kuwa underground
Nafaa kuwa crowned,
Nishawin kwa hii battle ground
Nalay low adi iyo siku ifike
Adi iyo siku ifike
Nalay low adi iyo siku ifike
Adi iyo siku ifike
Kwa Mneti nawaona wakichachisha(wakifloss nawacheki)
Nawaona wakichachisha
Kwa mneti nawaona wakichachisha(wakifloss)
Nawaona wakichachisha
Yeah
Hii ngoma inaendea wasee wote wako hopeless wako mtaa hawana form
Una browse hapo internet unacheki vile wasee wanalive Good na wewe hauna any
Nakushoo usijicompare na wasee
Just do your thing lay low hadi hiyo siku ifike
Na God atakubless yeah
Peace out