![Skills](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/6500de8beb9848dd9c586fe3f5509179_464_464.jpg)
Skills Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hook
Nina skills
Ziunifanya nilile bills
Looku ni jeans
Timba hood shingo masling
Nimejipin ki vuvuzela sipuff maslim
Zangu ni kusaka hela nikwachu ends meet
Verse 1
Niko na mali niko on
Ukinidai niko Block
We ni snitch kama unanitafuta home
Mfuko ilichange after kuget number ya source
Nikipush hii weight in a month nitakua sos
Wasoro waoni status number zao niliblock
Even ur girl knows I got the juice
Nimeogeza sauce Am popping
Nimejifanya boss While you flopping
Modafucker shinda apo ukiwait
Suck ur modda straight
Youngster nimekukuja kutakeover ni fate
Hustler Niko na dema kwa plate
Hunter nimewasundia bait
Cover ni ngori ukiskiza my tapes
Uko undercover main reason unahate
Utadedi na hunger ukikimbilia Kate
Itakua blunder angalia state
Usipende slumber watapita na gate
Nimemaster craft destined to be great
hardcore raw yani unkut
Mrs rubbi itabidi umeninominate unkut
Nikispit kwa cypher me ni rabbi siko cult
Nakeep it easy kama zaga dat
Mboka zangu ni za usiku kama bat
street dreams me ni prophet kama nas
Beat clean nikiroga sina gas
Take a seat kaa Chini skiza verse
Kama unadai kitu sema
Kuhama ngware aasubuhi kukinyesha
Usitry kurap kama mimi utahema
Ntafanya anything nilipe keja
Hook
Nina skills
Ziunifanya nilile bills
Looku,jeans
Timba hood shingo masling
Nimejipin ki vuvuzela sipuff maslim
Zangu ni kusaka hela nikwachu ends meet x2
Verse 2
Yesternight I had a bad dream
Nacheki mayouth wakimadwa for no reason
We ni german shepherd me ni lion
Kama ni battle tuingie nayayo
Ukinitaja unaangushwa hakuna kunego
fire stone kwa meno achwa na mapengo
Nakuja na lengo ya kukafunga kama prezzo
Hakuna chuom siezi pitia dago
Jahmu namba nene eatlando
Juja nina mamorio
Watiaji nipate zile chuom huezi kwom
ineza kua risky Ukibeef na Mimi
izi sides auskiki sjui tangu lini
Only rapper kutoka west kupostiwa dandora crime
mto ilikua imbo hakuna reason kunifine
Nina lawyer on Deck na ni mtoto ako fine
Awa masanse wanathani sijasoma
Mwisho wako D- me niko na Diploma
Neza adisia degree,masters majuu doha
I know you feel that Si Unajua tu
Tactical Decisions ata kama niko broken
ongeza fire jirecharge kama token
I was broke had to get back to the bag
At 21 nilikua addicted to thuggin
Alot of things ya'll niggas are lacking
target ju bling nadunga inawachochoma Macho
Nikikipass plus looku imepigwa pasi
Highschool nakumbuka nikijengwa pano
nadai kasoh kwa bankiko
maryjane naiva bila kiko
wakidai mambo nawatoa kijiko
flow imejaa words huezi pronounce
sioni msee mwingine kama mimi announce
neza cheki kenye sirelate
watch manigga wako close to you
make sure wanafanya wat they suppose to do
Outro
you never know wanapanga kukuangusha
thats the way it is sio personal
no time wasting
naget better with time
street educated maninja awajui ku act
nakupatia time ucatch up
usipo nifikia blame it on yourself
iyo ngori ilikua kama vietnam scene
mayouth wengi mtaa wanalive wakisin
umestep in a deadly zone
am the wrong nigga kuthreat
natake my time siezi rush the clock