Bounce Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Anadai G Kwa bed yake tonight
Amenishow ni me
Tulibonga ngware nikamwasha kislifff
Zikatushika
Akanishow kuna vile nimekunywa
Akinishika dready ananishow zimekua
Looku yangu safi anapenda izi ndulla
Navile me ni junky napenda tu kupurura
Come traphouse zitunice tonight
Tucheze cardy,anapenda porker hii vibe ace
Uyu dame ni ni wa uradi
Mara dat dat nikaanza kumsuka
Anapenda vile natumia lugha
Hatuwaste hakuna kupoteza muda
Me napanda uku ye akishuka
Girl unanimurda, girl itabidi kwa mother yako umehama
We ni power nikiwa solo kuna vile nakuhata
Panda nganya tuashe shadah
Ntakuhulla tupige shower
After kufanya vitu c hufanya
Kama kawa we ndo dawa
We ndo medicine,Hakuna comparison
Rangi melanin inanirush Adrenaline
Day one ulikua crush
Unafanya G apagawe aanze kublash
Bed tuko Wet nii ka tuko splash
Nikijam ntapunguza gas
Conversation magizani discuss
Nilikua lonely kama akon,Namove slowly
Walicheki niko phony
,Deep down nilikua holy
Ukidai tubonge you know you can phone me
Niko true Uliza morio wangu Tony
Tuko bukla akadai nimshike drink
Narole na ye, background ngoma ni ye
Mrembo, alikua ako b.a
kama ni weh ungecheza kama ww
Chupa mbili za smirnoff tuingie dancefloor
New vibes ni kama girl ulitranceform
Anazungusha akaacha nimpige mate
Event flani lavi NA ka pengting
One man army warembo kama kiNde
Leo lazima ilale inde
Anapenda energy nabring yeah
Ako ako kwa mind kwa memory yeah
Tutoke ghetto twende beverly yeah
Am a king big dick energy
Siezi hide identity
Together me and you naomba tuishi century
Umeweza madaaam
Come kejani tuskie utam
Tukitokea wanalia damn
Vile umeweza plus umejibeba
Come traphouse zitunice tonight
Tucheze cardy,anapenda porker hii vibe ace
Uyu dame ni ni wa uradi
Mara dat dat nikaanza kumsuka
Anapenda vile natumia lugha
Hatuwaste hakuna kupoteza muda
Me napanda uku ye akishuka
Girl unanimurda, girl itabidi kwa mother yako umehama
We ni power nikiwa solo kuna vile nakuhata