![Mungu ni Nani?](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/13/a6684e06b73d4d0d9a5d805335160ffc_464_464.jpg)
Mungu ni Nani? Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mungu ni Nani? - The Saints Ministers
...
Macho yako Mungu huona duniani kote; hatua zetu salama, nawe hauchoki nasi Mungu tujapotanga mbali nawe, watufuata kwa upole, tugeukapo upo pale.
Jamani tunaanguka, tunavunjika lakini Mungu ni nani? Atusimamisha tena. Tumepona, tuna nguvu, tu washindi, Mungu atukuzwe.
Jamani tunaanguka tunavunjika, lakini Mungu ni nani? Atusimamisha tena. Tumepona, tuna nguvu, tu washindi Mungu atukuzwe.
Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje; Mungu uwe kwangu imani inadidimia, machozi yamenifumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunza.

Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani? Anisimamisha tena. Nimepona, nina nguvu ni mshindi Mungu atukuzwe.

Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya nakutafuta kote uliko, masaibu yanisongapo. Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume tuwe wateule wako Bwana ujapo tusimamisha.