Kando Ya Mito Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Kando Ya Mito - Christina Shusho
...
Song- KANDO YA MITO
Artist- Christina Shusho
Verse 1
Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipo keti tukalia tulipokumbuka,kumbuka sayuni
Katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi, vinubi yetu.
Maana huko waliotuchukua mateka walitaka tuwaimbiee na waliotuonea walitaka furaha.
Tuimbieni baadhi ya nyimbo, nyimb za sayuni eeh
Tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni oooh
Tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugenix2
Chorus
Tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugenix2
Verse 2
Eeeh Yerusalemu nikikusahau,kusahau wewe
Mkono wangu wakuume na usahau
Ulimi wangu na ugandamane nakakaa na kinywa changu nisipo kumbuka nisipo ikuza, ikuza yerusalemu.
Tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni ooh.
Tuimbeje wimbo wa Bwana katika nchi ya ugeni×3
Nchi ya ugeni aaaah
Mateka nchi ya ugeni oooh
Tuimbeje nchi ya ugeni
Mateka nchi ya ugeni
Tuimbeje wimbo wa bwana katika nchi ya ugeni×2
Chorus
Tuimbeje wimbo wa bwana katika nchi ya ugeni×4
Created By Mariki H