![Mboni](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/08/b7188854896b41a1bd1f25cf92fb36f4_464_464.jpg)
Mboni Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mboni - Christina Shusho
...
Song- MBONI
Artist- Christina Shusho
Mimi ni mboni ya jicho la Mungu eehx3
Ya jicho la Mungu eeehx3
"Kiganjani mwake ameniweka"
Mimi ni mboni ya jicho la Mungu eehx3
Ya jicho la Mungu eeehx3
"Mwenzenu najuaa"
Zekari 2:8
"Yeye awagusae ninyi agusa ya mboni yake"
Chorus
Mimi ni mboni ya jicho la Mungu