Nakupenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakupenda - Christina Shusho
...
lyric sync by Phellow 254790511905
Nakupenda
Yesu
Nakupenda
oh Baba
Yesu nakupenda wee
Nakupenda
nikiangalia nilipo
naona matokeo ya upendo wako
eh Yesu nakupenda
akili zilipofika mwisho
ndipo ulipoanza wewe
eh Baba nakupenda
kumbe sikuanza mimi
ulinipenda kwanza
eh Baba nakupenda
hata nikiacha njia
upendo wako unanivuta
eh Baba nakupenda
nakupenda
****piano******
hata usipojibu leo
najua kesho utajibu
Baba bado nakupenda
eh Yesu nakupenda
najua usiponiinua leo
kesho utaniinua
Yesu mimi nakupenda
ewe Baba nakupenda
usiporejesha leo
Bwana kesho utarejesha
Baba mimi nakupenda
Yesu leo nakupenda
Baba usiposema leo
najua kesho utasema
Baba mimi nakupenda
Yesu mimi nakupenda
hata usipoponya leo
najua kesho utaponya
Yesu mimi nakupenda
najua wewe mwaminifu
tena mtunza maagano
Baba mimi nakupenda
Yesu mimi nakupenda
nakupenda
lyric sync by Phellow 254790511905