Nikigusa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikigusa - Christina Shusho
...
Song - NIKIGUSA
Artist - Christina Shusho
Nikigusa pindo la Yesu, najua nitapona tuu (yeleee eeh)
Nikigusa pindo la Yesu, hakika nitapona tuu
(yeleee eeh)
Nikigusa pindo la Yesu najua nitapona tuu
(yelee eeh)
Mimi nitapona
Nikigusa(nitapona) pindo la Yesu (mimi nitapona) hakika nitapona tuu( najua nitapona) yelee eeh
Mimi nitapona.
............................
Makutano mwanisonga, mwanisonga nataka niguse Yesu×2 Nataka nigu,niguu... nigusee
Nikigusa pindo la Yesu, najua nitapona tuu (yeleee eeh)
Nikigusa pindo la Yesu, hakika nitapona tuu
(yeleee eeh)
Nikigusa nikigusa magonjwa yangu yote yatapona, shida zangu zote zitakwisha nikigusaa
Nikigusa nikigusa msiba wangu wote utakoma machozi yangu yote yatakaushwa nikigusaa
Oooohhh.......
Nikigusa(nitapona) pindo la Yesu (mimi nitapona), najua nitapona tuu (najua nitapona(yelee eeh)
Mimi nitapona.
Nikigusa(nitapona) pindo la Yesu(mimi nitapona), hakika nitapona tuu(najua nitapona)(yelee eeh)
Mimi nitapona.
Gusa tuu, Gusa tuuu
Nimetia nitagusa tuux2
Gusa tuu, Gusa tuuu
Nimetia nia nitagusa tuux2
Mimi nitaponaa
Created by Mariki H