![I Found Love](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/48e2c69b0d8147db8657de1b3657a13b_464_464.jpg)
I Found Love Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
I Found Love - Lady Jaydee
...
I found love I found love
Haya sio mapenzi this is magic
I found love i found love
Ata kueleza siwezi this is magic
If you love i love you too
Tushavuka mipaka ka kunipenda unanipenda tu nawala sina mashaka
Breakfast in the morning unanipa supu matata
Twende wote jikoni si hadbreak nimepaka
You're my love nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee you're only i want today
Ooh momentait nakupenda zaidi
We ni wangu pekee you're only i want today
Popo lipopopo kalale nacho kidali pooh
Treat for me nirudishe utotoni
Popo tipolipo pembeni yako nami nipo
Sikomi nirudishe utotoni
Kwanza ukiacha love si ni marafikii
Nisogezee huo mkono niushike wavibandia atupishe
Yanyuma ushasahau kwa mikiki mikiki eeh
We ndo umefanya nifike leka kwa yaya chipite
You're my love nakupenda zaidi
Nuru yangu pekee you're only i want today
Ooh momentait nakupenda zaidi
We ni wangu pekee you're only i want today
Popo lipopopo lipo popo
Popo tipolipo tipolipo