![Ndoto yangu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/10/48e2c69b0d8147db8657de1b3657a13b_464_464.jpg)
Ndoto yangu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Ndoto yangu - Lady Jaydee
...
Kila ninachoona ni ndoto yangu
Kila hatua nilofikia ni ndoto yangu
Kila nilichoombaa ni ndoto yangu
Kila hatua nilofikia ni ndoto yangu
Kila kiu yangu eeh we ndo yangu shame
You're the one i love you ndoto yangu ilale
You're my one and only hakika tulihapa
Hujanifanya nikonde nanenepa ukiwa hapa
Kila hatua mwisho wa ndoto ni hapa
Mola anajua you're my one and only
Ndoto yangu mi kua na wewe
Nafsi yangu mi kua na wewe
Ndoto yangu mi kua na wewe
Nafsi yangu mi kua na wewe
You're my one and only
Husinifanye nikondeee eeiyyh
Tulitembea pamoja kuifukuzia hii ndoto
Tulipigana pamoja kuikaribia hii ndoto
Tuliamini yani tukakubariana mimi na we
Ndoto yangu ndoto yako
Ndoto yako ndoto yangu
Mafanikio tunayo si bahati ni mipango
Kila hatua mwisho wa ndoto ni hapa
Mola anajua you're my one and only
Ndoto yangu mi kua na wewe
Nafsi yangu mi kua na wewe
Ndoto yangu mi kua na wewe
Nafsi yangu mi kua na wewe
You're my one and only eeiyyeh
Husinifanye nikondeee eeiyyeh