![Nasimama](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/4B/99/rBEeM1nFCe6AUxtDAACZduMW06o485.jpg)
Nasimama Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Nasimama - Lady Jaydee
...
aliyepanga nimanani ooh
shida na riziki zangu
aliyezitupa gizani ooh
shida na tabu zangu x 2
nasimama na Mola
kwa kila jambo lile ntendalo
maneno ya watu bakora yalinichapa nikaumia
lakini machozi machozi niliyolia zamani yashafutika
japo simanzi majonzi yaliyojaa moyoni nikikumbuka
nlishaambiwa zamani kinyago uchongacho hakikutishi Ng'oo
ndo maana nasimama na alilopanga
aliyepanga ni mananii ooo
shida na riziki zangu
aliyezitupa gizani shida na tabu zangu ooh
ukitazama kwa macho yako huwezi kumjua mwema
mateso yako furaha yao tena mengi watasema
moyo wa mtu kichaka mengi yalofichika
naye umzaniaye mwema kumbe mchawi kwako
nilishaambiwa zamani kinyango uchongacho hakikutishi ng'oo
ndo maana nasimama na alilopanga
aliyepanga nimanani ooh
shida na riziki zangu
aliyezitupa gizani ooh shida na tabu zangu