Yesu Unipendaye Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2007
Lyrics
Yesu Unipendaye - Angela Chibalonza
...
Yesu unipendaye,kwako nakimbilia
Ni wewe utoshaye,Mwovu akinijia
(Yafiche) Yafiche ubavuni mwako maisha yangu
Nifikishe mbinguni uokoe Moyo wangu 2x
Ngome nyingine sina nategemea kwako
Usinipite Bwana nipe Neema yako
Ninakuangalia (Yesu) mwenye kuniwezesha
Shari wanikingia vitani wanitosha2x
Uuuhhh mmmmhh uuuuh
Nakutaka mpaji vyote napata kwako
Niwapo muhitaji utanijaza Vyako
Nao waangukao ( Yesu )wanyonge wape nguvu Poza wauguao uongoze vipofu
Bwana umeniosha Moyo kwa damu yako
(oooh Neema)Neema ya kutosha (oooh yapati)yapatikana kwako
( Baba kwako) kwako Bwana naona
(Kisima) kisima cha uzima kwangu Moyoni Bwana
(Oooh) bubujika daima