![Mungu Wa Mapendo](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3D/47/rBEeNFlNO9WACdcaAACKuYT7YE8283.jpg)
Mungu Wa Mapendo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Mungu Wa Mapendo - Rose Muhando
...
huo huo huo, le le le le le le
yelele yelele yelele,mama mama mama
nini kitanitenganisha? na upendo wa Mungu baba
ikiwa ni dhiki au njaa, havitanitenga naye Baba
mauti, uganga na dhihaka, havutanitenga naye Baba
nini kitanitenganisha? na uepndo wa Mungu baba
ikiwa ni dhiki au njaa, havitanitenga naye baba.
(Sina hofu sibabaishwi, kwa kelele nitashinda, milele yote nitashinda, tena zaidi ya kushinda na yeye aliyenipenda) ×2. chorus
kwenye zamu yangu nishasimama
kwa miguu yangi nitasimama
nione Bwana atakwavyo nujibu, mimi
kwa habaru ya kulalamika kwangu
Bwana aliniambia neno hili;
nisiogope maneno yao
sitetemeke mbele yao
nisibabaike mbele yao
maana imeandikwa kwa ajili yako nimeuwawa, na kuchinjwa
kifo nimehesabiwa ×2 mimi sibabaiki
Shetani usinisumbue ×2
wala usinibabaishe ×2
Funga kinywa ukatoeke ×2
nyamaza kimya ukapotee, kwa jina la Yesu ukapotee
nyamaza kimya ukapotee ×2
chorus
chorys