![Mbella](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/3D/47/rBEeNFlNO9WACdcaAACKuYT7YE8283.jpg)
Mbella Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2009
Lyrics
Mbella - Rose Muhando
...
lyrics sync by Phellow Aduvaga 254790511905
*****piano*****
******interlude******
mbella
mbella
njomwa na mbella
mbella
mbella
njomwa na mbella
mbella
mbella
njomwa na mbella
mbella aaah!
njomwa na mbella
njomwa na mbella
mbella
mbella
njomwa na mbella
mbella
mbella
njomwa na mbella aaaah
Halleluyah na ushukuriwe
Mungu mshindaji
Halelluya na ushukuriwe
Mungu mshindaji
wewe
Mungu mshindaji
wewe
Mungu mshindaji
he-eeh!
ndiwe mshindaji
Shama
Shama
heiyeyeyeyeee
shama
shama
hee! tunakupenda
shama
heiyeiyee
shama
Baba twakuinua
shama
heiyeyeee
shama
****verse1****
lakini Bwana aliyeziumba mbingu
asema hivi
Yeye aliyeiumba dunia
na kuifanya
ndiye aliyeifanya imara
imara
hakunena kwa siri
wala katika giza
aliwaambia hao wampendao
nitafuteni bure
hawana maarifa
waabuduo sanamu
mungu asiyejua kunena
asiyeweza kuokoa
niangalieni mimi
enyi mataifa yote
enyi ncha zote za dunia eeeeh!
mkaokolewe iyeiyeee mamamaaa!
****refrain****
mkombozi wetu sisi
ndiye Mungu
Bwana wa Majeshi hilo ndilo jina lake
mkombozi wetu
sisi ndiye Mungu
huyo Baba
Bwana wa majeshi hilo ndilo jina lake
tuimbe!
Usifiwe
Usifiwe
Uinuliwe
uinuliwe
uinuliwe
uinuliwe
uabudiwe
uabudiwe
uabudiwe
uabudiwe
usujudiwe baba
usujudiwe
usujudiwe
usujudiwe eh
usujudiwe he eh!
usifiwe
usifiwe
uinuliwe
uinuliwe
uabudiwe
uabudiwe
uabudiwe
usujudiwe
usujudiwe
usujudiwe
usujudiwe he eh!
****piano***
*****verse2****
mataifa yote
wajue Nguvu zako
waliokombolewa nao
waone uweza wako
kwa maana chini ya mbingu hakuna jingine jina
jina kama Yesu
huyo anakuja upesi
tazama anakuja mapema
mataifa yote baba baba
wajue nguvu zako
waliokombolewa nao
waone uweza wako
kwa maana chini ya mbingu
hakuna jingine jina
jina kama Yesu
huyo anakuja upesi
tazama anakuja mapema
nami nitakusifu wewe
katika dhiki nitaimba
kwenye mateso nitaimba
kwa maana imeandikwa
wewe u kuhani milele
alichukuliwa akapaa juu
kiti cha rehema sasa atawala
kuhani wa milele
mfano wa Melikizedeki eeeh!
*****interlude*****
mawazo yako ni fumbo
kwa ulimwengu
wapumbavu hawatambui hawafahamu
lakini mimi nitaimba
matendo yako
mawazo yako
ni fumbo
kwa ulimwengu
wapumbavu hawatambui
hawafahamu
lakini mimi nitaimba
matendo yako ooooh!
Halalalallalalalalalaaaah!
mmmh!
halelu
halelu
Halelluya
halelu
halelu
Halelluya
uinuliwe
halelu
baba
halelu
baba
halelluya
ooooh uaminiwe
halelu
baba
halelu
baba
Halelluya
mmmh ushukuriwe
halelu
baba
halelu
baba
Halelluya
mmmh Mungu wa amani
halelu
furaha upendo
halelu
baba
Halelluya
eeeeiyeeee!
halelu
baba
halelu
baba
Halelluya
heeeeiyeeee!
halelu
halelu
Halelluya
****piano****
mkombozi wetu sisi ndiye Mungu
huyo baba
Bwana wa majeshi
hilo ndilo jina lake
mkombozi wetu sisi ndiye Mungu
mmmmh
Bwana wa Majeshi hilo ndilo jina lake
tuimbe!
usifiwe
usifiwe
uinuliwe
uabudiwe
ushukuriwe
usujudiwe
eheee!
lyrics sync by Phellow Aduvaga 254790511905