Mapenzi Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Mapenzi - Rose Muhando
...
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Mapenzi yangu kwa Yesu mapenzi
Mapenzi yangu kwa Yesu mapenzi
Nashindwa kusimulia mapenzi
Nashindwa kusimulia mapenzi
Nimeamua mwenyewe mimi kumupenda Yesu
Nitumie vyovyote vile upendavyo
Chumba cha siri moyoni mwangu nimekupa Yesu
Nipeleke popote pale utakapo
Niambie lolote lile nitafanya
Nionyeshe nyumbani kwako nihamie
Mikononi mwako Yesu nitulie
Ule wimbo mzuri Yesu nikwimbie
Nisimulie matendo yako wote wajue
Lolote utakalo Yesu nikufanyie
Nikusifu mpaka Shetani ashangae
Mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi
Mapenzi yangu kwa Yesu mapenzi
Yameota mizizi jamani mapenzi
Hayana simulizi mapenzi
Niambie Yesu niambie
Niambie Yesu niambie
Nini unataka Yesu niambie?
Lolote nitafanya Yesu niambie
Popote nitakwenda Yesu niambie
Niambie Yesu niambie
Niambie Yesu niambie
Mimi ni wako
Nipeleleze Yesu ndani ya moyo unijue
Chunguza maisha yangu Yesu uyatambue
Nitengeneze mwenyewe mbele zako minifae
Nipeleleze Yesu maisha yangu unijue
Nichunguze sana moyoni mwangu Yesu unitambue
Nitengeneze mwenyewe mbele yako mi nifae
Niambie Yesu niambie
Mimi ni wako
Niambie Yesu niambie
Niambie Yesu niambie
Nini unataka Yesu niambie?
Lolote nitafanya Yesu niambie
Popote nitakwenda Yesu niambie
Niambie Yesu niambie
Niambie Yesu niambie
Mimi ni wak'oh-h-h-h-h-h