![Heri Wenye Moyo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/6E/EB/rBEehl2a7GqAdzC9AACV4wdYwj0369.jpg)
Heri Wenye Moyo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Heri Wenye Moyo - Rose Muhando
...
Heri Wenye Moyo as sung by Rose Muhando...
lyrics written Phellow Aduvaga +254790511905
*******Verse 1*****
*******piano*******
Heri wenye moyo safi maana
watamwona Mungu
Heeeri
wenye moyoo
safi maana watairithi mbingu
siku ile watakwenda
wataishi pamoja na Mungu
Na Yesu ameketi
Mkono wa kuume
amezungukwa na malaika
wazee ishirini na nne pamoja naye
na utukufu wa Mungu Baba
Mchana usiku wanaimba
wanainama wanainuka
mtakatifu Bwana
mtakatifu Bwana
Mungu wa majeshi
Mungu wa majeshi
Mbingu na nchi zinakuabudu heee!
Na mataifa watasema
huyu ndiye Mungu wetu
Tuliyemngoja atusaidie
******Refrain ******
Haai hai haaai
*****Verse 2*****
Kwenye mito ile watakwenda
Kwenye njia zile watatembea
Mji uleni wa ajabu sana
Malango yale kumi na mbili
Kwa kabila Israeli
Watainama na kuinuka
Mtakatifu Bwana
Mtakatifu Bwana
Muungu wa majeshi
Mbingu na nchi zinakuabudu
Heeeeri wenye moooooyo
safi maana
watamwona Mungu
******Refrain******
Haai hai haaai
song by Rose Muhando Tanzania
lyrics written by Phellow Aduvaga Kenya
Thanks for supporting Rose Muhando Ministry