![Nakoyombela Yo](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/6E/D5/rBEehl2a5gOAF_gqAACg4-BxAWk516.jpg)
Nakoyombela Yo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Nakoyombela Yo - Angela Chibalonza
...
Kombolayo Adonai
Kombolayo Elohim
Kombolayo El-Shaddai
Zambela Muya
Likolopela Sele Litondi Nguna nayo
likolopela sele Litondi Kembo Nayo
Nakoyembela Yo(repeat)
Nakokumisa Yo(repeat)
Nakosajola Yo(repeat)
Yahweh na Kuletolayo (repeat)
Maneno Mungu anafanyanga Yanapita ufahamu wangu eeh Maneno Mungu anafanyanga Yanapita kuelewa kwangu eeh Lakini mimi najua anapendaga Watu wamsifu eeh
Mi najua anapendaga
Watu wamchezee, Wakati huwa tunafurahi Yesu pia anafurahi Wakati hua tunaabudu eeh Bwana wetu anafurahi eeh Mbelela mbelela, Kombola Yesu
Mbelela mbelelaa Kombola Yesu Hemboke hembokeeh Kombola Yesu Adon eeh (repeat) Kombola Yesu Helembe eeh(repeat) Kombola Yesu Nitola aah(repeat) Kombola Yesu
Jina jinaa, Jina la Yesu Jina (repeat)×2
Jina la Yesu Jina lenye mamlaka Jina la Yesu Jina lenye nguvu nyingi Jina la Yesu Kwa jina la Yesu mapepo yaondoka Jina la Yesu Kwa jina la Yesu magonjwa yanapona Jina la Yesu Kwa jina la Yesu viwete watembea Jina la Yesu Jina linainua maskini eeh Jina la Yesu Jina lenye nguvu na mamlaka Jina la Yesu Nasema jina jina Jina la Yesu Ooh jina jina Jina la Yesu Jina latajirisha Jina la Yesu Jina linainua Jina la Yesu Kwa jina lake tunaimba Jina la Yesu Kwa jina la Yesu tunaabudu Jina la Yesu Ooh jina jina Jina la Yesu (Halleluya eeh Jina la Yesu livume pote duniani Ulaya Afrika Europa Asia jina la Yesu livume Halleluya) Nitalinua jina lako eeh Eeh Nitalibariki jina lako eeh Eeh Nitalitukuza jina lako eeh Eeh Kulia kushoto Jina la Yesu Kwenda juu chini Jina la Yesu livume (Inua masiya) (Mikono juu kwa Yesu) (Cheza kwa ajili ya Yesu jamani umepewa nafasi na muda mzuri wa kucheza kwa ajili ya Yesu) Hata mnisengenye sitaacha kumsifu eeh(repeat) Jina la Yesu ni lina nguvu na mamlaka