![Nifanane Nawe](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/6E/D5/rBEehl2a5gOAF_gqAACg4-BxAWk516.jpg)
Nifanane Nawe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Nifanane Nawe - Angela Chibalonza
...
mmmmh mmmmh Haleluyah, Ninataka nifanane na wewe Yesu siku zote za maisha yangu
Nataka nifanane na we siku zote za maisha yangu
Nilitamani, nifanane na mwamadamu ila wote wanabadilika
Nataka nifanane na wewe maana waew haubadiliki.
Nataka nifanane na wewe
eheh eheh baba
Nataka nifanane na wewe
eeh eeh eeh baba
Kila siku ya maisha yangu
aah nataka nifanane na wewe
we ni mwingi wa rehema
Ni mwepesi wa hasira
Nilikuwa na rafiki yangu , tuliyependana sana
siri zetuza wasichana tuliambiana, maombi ya kufunga na kuomba, tulifanya pamoja
Nilikuwa na mchumba wangu aliye ni penda sana.
Kumbe rafiki yangu alikuwa mnafiki,tulikuwa tukiachana anaenda kwa mchumba wangu, anaanza kunisengenya na kunisemea uwongo
Kilichofata nikapata nimekataliwa, kilichofata nikawaona pamoja
Hapo ndipo nikaelewa, mwanadamu ni nani
Usifunguwe moyo wako ndugu kumwambia siri zako, siri za moyo wako, mwambie Yesu
Aaaah, nataka nifanane na wewe Baba,
eeh eeh eeh Baba
Oooh nataka nifanane na we
eeh eeeh baba
Ndani yako hakuna unafiki
eeeh eeeh eeeh Baba
Ndani yako hamna chuki
eeeh eeeh eeh baba
We ni mwingi wa rehema Yawhe
eeeh eeeh Baba
Mwepesi wa hasira
ooooh Hallelujah
Yeye achunguzaye miyo ya wanadamu, anajua maisha yako na siri zako zote, mwambie siri zako, yeye anajibu , fungua moyo kwa Yesu yeye anajibu
Ategemea mwanadamu amelaaniwa
Amwangaliae mwanadamu amelaaniwaaaa
CHORUS ×3
Hallelujah, Asante yesu maana ndani yako hakuna unafiki