Kiuno ft. Rekles Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Kiuno ft. Rekles - Susumila
...
yeah 001..(teddy b)
mwendo wake miguru baga,
figa no:8 mapaja,kama kashikwa na haja,
alivyobebanisha madaraja,
utamu wake kama pipi..eeh,
viuno vya paka chongo,
nampa mpaka kwenye kiti..eeh,
namupakiaga na mkongo,
ashawo awosha...alivyolege,
anavyonikosha hizo chuchu dede,
ashawo awosha...alivyolege..
anavyonikosha..akinyongaah...
kiuno......kiuno...
kiuno......kiuno...
(jee? aaah yaah)
niaje baby girl,
figa ni fine figa fire bana juu unapendeza na sitakuchocha cheki mungu alikubless,
na ka umeokoka baby me naokoka next,...haaa
me sitaenda na kufuata
fununu mtaa wee ni nenga si dimanga,
na me hukucheki nikilala,
nalala sana kuanzia juzi hadi jana unasimamishanga python bana unanikill,
ukidai kiboko unabonga nami,
master kurusha luga,
naogopa tu machura,
ka uko kwa box ni wee pekee tu napatia kura...
kiuno....kiuno
kiuno....kiuno
ashawo awosha alivyolege
anavyonikosha hizo chuchu dede...eeh
ashawo awosha alivyolege
anavyonikosha akinyongaah....