Njoo ft. Sho Madjozi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Njoo ft. Sho Madjozi - Susumila
...
(It's 2k2 productjizoo)
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
We mtoto ni moto, so hot we nomaaa
Kam close we photo, kwako nishagomaaaa
We mtoto ni moto, so hot we nomaaaa
Kam close we photo, kwako nishagomaaaa
Wacha wacha uongo
Utasema mchana eeee, usiku utanigeukia
Kitu nachokiweza ni kulia
Kitu nacho kijua kutania
Kitu nachokileta kibamia
Najua ni kupa nitaumia
Anko mi siogopi kukuambia
Sikuamamamini
Mi sikuamamamini
Hata ukisema mama nini
Mi sikuamamamini aaaaah
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Basi nipe nideke, chini ya maji niwekeee
Usilete maseke, nipe nifanye makekeee
Basi nipe nideke, chini ya maji niwekeee
Usilete maseke, nipe nifanye makekeee
Sikuamamamini
Mi sikuamamamini
Hata ukisema mama nini
Mi sikuamamamini aah
Sikuamamamini
Mi sikuamamamini
Hata ukisema mama nini
Mi sikuamamamini aaaah
Sultan 001, Mombasa
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor
Sho Madjozi njoo, mi ni bachelor
Usiogope njoo, kwangu bachelor