MAILOVA ft. Escobar Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
MAILOVA ft. Escobar - Susumila
...
SUSUMILA ft ESCOBAR- Mailova
Huba lako lanichanganya mpaka naona mawenge
kwa penzi lako swear i never retire
sina vicheche naogopa nisikupoteze
oooh yeeh
langu pendo usije lipiga teke
hulka ya penzi wala sio vita
baby nipo radhi niteketeze
kukupenda sito stop
penzi lako tam zaidi ya sugar sugar
wala sitaja pretend mana waliokuacha nyuma wata juta juta
Ooh yeeeh
Your my sweet banana
we ndio roho yangu my love
sina ujanja umeni murder
Your my chocolate my love
Usinikatili katili
moyo wangu teteme(ooh yeeh)
mi tajiri tajiri kwa pendo lako
kite kitetee
Acha mim niringe my love
your mylove my love
niko radhi niteseke(mylove ooh yeh)
mylove
Acha mim niringe my love
your mylove my love
mpaka nife na nizikwe mylove
your mylove
uzuri sio wa ku force
unanipaga arosto
tena sio la ku push
unanipaga lote
langu gari bila tiketi napanda
sisumbuliwi na konda(konda na konda)
akini peti peti nadata like huba la tanga
sema chochote i go give you mamaa
kasura ka upole we ndio kitu mama
napendaga unavyochutama nyuma singeli sio katitu mama(oooh)
we nipende nikupende twende wote mpaka kiama
in the hoss kilifi ukamuone aisha tumwa
Usinikatili katili
moyo wangu teteme
mi tajiri tajiri kwa pendo lako
kite kiteteme
Acha mim niringe my love
your mylove my love
niko radhi niteseke(mylove ooh yeh)
mylove
Acha mimi niringe my love
your mylove my love
mpaka nife na nizikwe mylove
your mylove
Noma noma noma babaake
heheeeh
we bang we bang
J-crack sound records baby
lyrics by NjauMsafiri