Mpaka Chee ft. Ommy Dimpoz Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Mpaka Chee ft. Ommy Dimpoz - Susumila
...
umetupata kwa sherehee
unanuna (nuna)
mwenzako tuko busy
tunakunywa (kunywa)
--kill dem-
mi mwoga kufurahi na kuruka(ruka)
kama mmasai nakupandisha mizuqa
natafuta prototo (toto)
jimwage kwenye floor (oh oh oh)
paka majogoo (oh oh oh)
usione so (oh oh oh)
wanatuitaga (mapopo)
vile tuko live (tuko live)
kila kitu prokoto
tunakula life (kula life) *2
sababu leo mpaka chee (mpaka chee)
mpaka chee (mpaka chee) chee chee (mpakate) oh oh
sababu leo mpaka chee (mpaka chee)
mpaka chee (mpaka chee) chee chee (mpakate) chee chee
basi leo mpakate ( mpakate eh mpaka chee oh mpakate eh)
ninasema mpakate (mpakate eh mpaka chee oh mpakate eh)
nimeshakula tabo toka longi
nikaziona siku kama hazisongi
leo nala changu na siombi
mambo sasa tiki hakuna wrongi
tutabanana na sitoki toki
kama kisiki mi sikong'oki ng'oki
kanapiga sa kuna mashoki shoki
kananihemesha kama doggy doggy
huyu mtoto toto yaani yuko motomoto motoo
kananipa jotojoto jotoo
leo nimeshinda loto lotoo
--tell dem-
huyu mtoto toto yaani yuko motomoto motoo
kananipa jotojoto jotoo
leo nimeshinda loto lotoo
ngoma hino gile imenoga
walo taka tusile wameoga
ngoma hino gile imenoga
wala hatuna tabu tabu
walo taka tusile wameoga
watakesha kwa mababu babu