Sheshe ft. Nviiri The Story Teller Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Sheshe ft. Nviiri The Story Teller - Susumila
...
No no no no no no
no nooh no
Sultan Nviri beibi..
Toti on the beat
Hapa kume jaa pombe sigara ziko mingi
visanga zina fanyika kwa wingi
hauitajiki kukwa shilingi eeh yeah
nimelipa fare vitu tunaona kwa vipindi viko live live cheza chini
kutesa maji hapa naviti
wengine wako commando commando
abra kadabra wengine wajanja walisha jipanga na wakatupanga woweeh
wengine wako commando commando abra kadabra wengine wajanja na watatupanga tusipo jipanga woweeh
Nipate ndaneee iii nipate ndane
nipate ndaneee iii nipate ndaneee iye iye
Ndani kuna msheshe sheshe sheshe uyee sheshe sheshe sheshe
Ndani kuna msheshe sheshe sheshe uyee
sheshe sheshe sheshe
Nipate ndani kwenye party don dada
kiwanja kina nuka moshi wamashada
watu tuna ruka machizi na madada
if you know you know
wengine wanakatika wengine wamekaa
wengine wana kamata madada
wengine wanacheka wengine wameja
wangine wamesha poteza rada
kale kazuri nakatuaka nakataka
kana dondoka minadata
kiuno amekijaza mashanga
uyee
wengine wako commando commando abra kadabra wengine wajanja walisha jipanga na wwakatupanga wowee
wengine wako commando commando abra kadabra wengine wajanja na watatupanga tusipo jipanga wowee
Nipate ndaneeee iiii nipate ndane eeh
nipate ndaneeee iye nipate ndanee yeiye
Ndani kuna sheshe sheshe sheshe uyee sheshe sheshe sheshe
ndani kuna sheshe sheshe sheshe uyee sheshe sheshe sheshe uyee