Kila Mtu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Karibu Kenya, nchi ya kitu kidogo
Karibu Kenya, nchi ya wapenda hongo
Nchi ya wezi, wafujaji wa pesa
Nchi ya mtu wetu, nchi ya ukabila
Nchi ya wasojali, shamba la wanyama
Looters wanaloot hawajali hata wamama
Kwenye maternity wanakufa wamama
Pesa za umma kirahisi zinazama
Wabunge, waizi
Ma MCA, waizi
Ma Senetor, waizi
Ma Governor, waizi
Kila mtu ni mwizi sikuhizi
Na hao wezi, tumewachagua sisi wezi
Anyway, sisi ndio wale wezi
Mafisadi, sote corrupt wezi
Hatupigi kura, mpaka kitu
Hatujali utu, utu wa mtu kitu aah
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Tulipanda tunavuna don't complain
Miaka mingi tangu uhuru, still in vain
Watoto wanalia, tumbo pain
Wacha tuvumilie, no pain no gain
2022 wataback again
Na kura watataka tutawapa again
Wembe ni ule ule, mara tano tena
Na sura zile zile, naona zikirudi tena aah
Mapastor, waizi
Mashehe, waizi
Waganga, waizi
Wasanii, waizi
Kila mtu ni mwizi sikuhizi
Na hao wezi, tumewachagua sisi wezi
Anyway, sisi ndio wale wezi
Mafisadi, sote corrupt wezi
Hatupigi kura, mpaka kitu
Hatujali utu, utu wa mtu kitu aah
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
Na kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
--- www.LRCgenerator.com ---