MURDA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
MURDA - Susumila
...
Susumila - Murda
Susumila
Chirika chirizaga
Loketo loketo mama utaniua
Kwako nishakufaza zaaa
Poketo poketo nishawekania
Penzi la kichina
Mtoto una umbo la kichoni
Namwitanga fashion killer
Nyuma kafunga chamshondo
Amina nipe kidogo
Amina amina nipe kidogo
Salima nipe kidogo
Salima amina nipekidogo
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Jua Kwako nishakolea
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Kama movie la kikolea
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Jua Kwako nishakolea
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Kama movie la kikolea
Mkali wa mitindo jamani
Kamoyo kangu kwake kebekebe
Mtoto hajuangi kudanganya
Kutwa ananifanya mimi natekenya maaaha!
Laini kama ngamia kamefunzwa tabia
Aahaa anautamu kolea
Hukuanga ninamwelewa
Amina nipe kidogo
Amina amina nipe kidogo
Salima nipe kidogo
Salima amina nipekidogo
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Jua Kwako nishakolea
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Kama movie la kikolea
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Jua Kwako nishakolea
Umenimurda murda
Baby baby umenimurda
Kama movie la kikolea