
Sonona ft. Mbosso Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Sonona ft. Mbosso - Susumila
...
.....mocco...
Siku moja...moja...ukipata nafasi tukumbukane ntalipa bodaboda achana n mwendokasi usijibanebanee...aaaah ewe binti maringo cjui wanisikia pendo lako nimcheze bingo wenda nkajishindia mwenzako bado nko single pendo limenichachia...aaaah uwe suka niwe tingo mioyo iwe abiria
(Chorus)
Nafsi unainyong'onyeza...aaaah...nahisi la moyo shambulio...aaaah...nifanye chipsi chombeza...aaaah... japo unionjeonje mwenzio...aaaah...penzi linanilegeza...sonona sonona...ety lini utapata nafasi... sonona sonona...ooh baby yoyoo nambie basi...sonona sonona...nafsi nyonge naishi kwa wasiwasi...sonona sonona...beba wangu moyo mwepesi ka karatasi...sonona sonona
Mwaga wino wa kalamu ya penzi langu...chimba shimo unizike kabla ya siku yangu...hakuna asiyejua matatizo ya moyo ukipenda unanifanya mwanasesere kunichezesha...mih muoga macho usoni cje shikwa na kwikwi ki masihara sema niandae vipopkoni unyonye na vipipi vya duara
(Chorus)
Nafsi unainyong'onyeza...aaah...nahisi la moyo shambulio ...aaah...nifanye chipsi chombeza...aaah...japo unionjeonje mwenzio...aaah...penzi linanilegeza... sonona sonona...ety lini utapata nafasi... sonona sonona...ooh baby yoyoo... nambie basi... sonona sonona...nafsi nyonge naishi kwa wasiwasi... sonona sonona...beba wangu moyo mwepesi ka karatasi... sonona sonona
Uje...uje beiby...uje mombasa wakuone...uje...uje darling...uje nairobi wakuone...uje...uje beiby...uje darsalaam wakuone...uje...uje beeiby...zero zero one akuone.