Inama Inuka Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Am on my way man as I come
Am waiting for my beiby, for my beiby
Boy you are all I think I have
When I be with you daily, with you daily
Boy I don't wanna leave you alone
I be calling and calling your phone
Mr Dj, play me the song
Now you better be taking me home, yeah
All lonely, beiby all lonely
Baby boy you got me feeling so lovely
I just wanna be by next to you honey
My love, my heart is for you only, yeah
All lonely, beiby all lonely
Baby boy you got me feeling so lovely
I just wanna be by next to you honey
My love, my heart is for you only, yeah
Unavyo inama, unavyo inuka
Unanifanya me nameza mate
Unavyo inama, unavyo inuka
Unanifanya mpaka me nidate
Unavyo inama, unavyo inuka
Unanifanya me nameza mate
Unavyo inama, unavyo inuka
Unanifanya mpaka me nidate
Da, da, da, da, da, da
Unafanya me nidate
Da, da, da, da, da, da
We mtoto iokote
Mechi tunaicheza popote
Hakuna lolote
Leo mpaka tutoke si wote
Kwanza twende sambamba
Napenda harufu yako ya minti na
Mtoto tunaendana
Twende nikakupe hogo banana
Ah-ah follow me, niku hallo me
Njoo home niko so lonely
Njoo nitoe vyote, vitu vya ndani
Njoo nikutembeze kote chumbani
Follow me niku hallo me
Njoo home niko so lonely
Njoo nitoe vyote, vitu vya ndani
Njoo nikutembeze kote chumbani
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya me nameza mate
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya mpaka me nidate
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya me nameza mate
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya mpaka me nidate
Da, da, da, da, da, da
Unafanya me nidate
Da, da, da, da, da, da
Me ndio nafanya hawa maboy wanadata
Madem na machali wote pia wote wanataka
Haraka haraka
Najua waipenda sana nikichora saba
Baby songa hapa
Najua waipenda sana nikichora saba
Demand him haffi case case
You are de ting pon me
My man have it on mi wishlist
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya me nameza mate
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya mpaka me nidate
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya me nameza mate
Unavyo inama, unavyo inuka(weee)
Unanifanya mpaka me nidate
Da, da, da, da, da, da
Unafanya me nidate
Da, da, da, da, da, da
Unafanya me nidate
--- www.LRCgenerator.com ---