Walionicheka ft. Rose Muhando Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Walionicheka ft. Rose Muhando - Ringtone
...
Masimangoo ya maneno makali ndio yalikua fungu langu
Shidaa,tabu ziliumiza sana moyo wangu
Masimangoo ya maneno makali ndio yalikua fungu langu
Maumivu ya moyo yaliinamisha nafsi yangu
Asante Yesu, kwa kuwa uliiona tabu yangu
Nakushukuru kwa kua uliona uzima wangu
Asante Yesu kwa kuwa uliona tabu yangu
Nakushukuru kwa kua uliutazama mziba wangu eeeeh
Sasa mbona ninaendelea.
walionicheka wanaona hayaa