Kesho Yako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Kesho Yako - Ringtone
...
Mungu ako kazini, mama yoo
kwa ajili yako
Mungu ako kazini,anakushughulikia
mama yoo
Kesho yako,itang'ara kushinda Leo
Kesho yako wee, itang'ara kushinda Leo
Kesho yako itang'ara kushinda Leo
kesho yako wee itang'ara kushinda Leo