Wacha Iwe ft. Gloria Muliro Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Wacha Iwe ft. Gloria Muliro - Ringtone
...
Hizi shida kwako uwezi pigana
Nyumba shida,kwako huwezi kula
Hayo yote eeh,
Ni ushuhuda
Mungu anakutengenezea
Maisha husiende eeh
Mambo unapitia
yanakufanya uzimie
Yanakufanya wewe ulie
Unajiuliza ako wapi
Huyu Mungu wamwita kila siku,
Huyu Mungu ninajua anaskia
Huyu Mungu anakupenda wewe bana
.