Lawyer Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Lawyer - Ringtone
...
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
Ringtone
Once again
eei
Vicky up on this ndwa jesi
lawyer lawyer Yesu ndiye lawyer
najua unataka lawyer ushinde kesi
na huyo lawyer asiwe feki
lawyer unayemtaka najua pa kumpata
kama unataka twende tumpate
lawyer ambaye ni noma noma noma
lawyer hawezi shindwa kesi kesi kesi
lawyer ambaye ni noma
hajawahishindwa na kesi
lawyer ambaye ni noma
kesi zote yeye hushinda
lawyer lawyer Yesu ndiye lawyer
maadui wako wote wamepanga
Yake wamepanga yeye atapangua eh
usipochunga wewe utafungwa
hiyo kesi yako wewe utashindwa ah
wacha kujifanya ngangari wee
wacha kujifanya wewe noma eh
kuja tulia wacha nikupeke kwa lawyer
kuja mskize wacha tuende kwa lawyer l
lawyer ambaye ni noma ah
hajawahishindwa na kesi
lawyer ambaye ni noma
kesi zake zote yeye hushinda
lawyer lawyer Yesu ndiye lawyer
najua weee
unahitaji lawyer
najua wewe eh
unahitaji lawyer
lawyer ambaye hawezi kukuacha mataani
lawyer ambaye hawezi kukuzimia simu
wakati shida zimekupata akuwe one call away
wakati simu yake ukipiga akuwe one call away
asikuuze eh wakati unamuhitaji
asikuwache eh wakati unamuhitajj
lawyer lawyer Yesu ndiye lawyer