Zoea Mawe ft. Azziad Nasenya Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Zoea Mawe ft. Azziad Nasenya - Ringtone
...
Zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe n mtu wenye matunda
Zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe n mtu wenye matunda
Zoea kupigwa mawe
Ni wengi watakuchukia bila sababu wee
Wengi watakuonea bila makosa wee wee
Mambo mengi watasema ya kukuvunja moyo
Ni kawaida kuonea wivu, wewe si wa kwanza
Ikisha kumulika,hiyo tochi ya Mungu
Mawe mengi utapigwa, juu ya kazi ya Mungu
Sasa we jipe moyo ooh
Juu ya mambo ya watu
mawe mengi utapigwa juu ya kazi ya Mungu
chorus:
Zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe n mtu wenye matunda
Zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Zoea kupigwa mawe
Wewe n mtu wenye matunda
Zoea kupigwa mawe