This Year ft. Ada Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
This Year ft. Ada - Ringtone
...
Naona this year eeeh, tabarikiwa
Naona this year aah utashinda
Naona this year eeeh tabarikiwa
Naona this year aah utashinda
Kama chakula we pakua, adi sahani ijae
Kama ni party we furahia na ushukuru Mungu
Kuna time ya kucheka
kuna time ya kulia
Kuna time ya kucheza ata kama hauna pesa wee
Hakuna haja ya kuworry
Wakati n wako
Hakuna haja ya kuworry
Time yako imefika
Hakuna haja ya kuworry
Wakati n wako
Hakuna haja ya kuworry
Time yako imefika